![One Day Yes](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/08/ff85aa6b75874c61932776e7ab88e0d6_464_464.jpg)
One Day Yes Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
One Day Yes - Rayvanny
...
Sidanganyi mnapendezana., naona umejipata
Umejipata
Anakuita honey mmefanana utasema mapacha,
Ooh mapacha nnnhh.
Najaribu kukusahau mwendeleee
hata kama umenikosea, nikusamehe Kumbukumbu kichwani Ipotee
labda na mimi nitapendwa one day.
Kweli wivu ninao na roho inauma.
Japo najikaza ila mapemzi yanauma
Moyo umeondoka naooo hurumuma haunaa
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wa kwanguuuuuu.
One day yes, one
One day yes. One day yes.
Nitapata wa kwangu.
One day yes. One day yes ,
One day yes.
Na mimi nitapendwa
Unavonisema vibaya hivi unadhqni siskiii.
Mnavyopost kunikomoa ivi unadhani sioni
Moyo umeritire kupenda kama hivi sirudiiii
Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na BP.
Najipa moyo mchana na usiku
haya maumivu yatageuka njozii
Najipa moyo itafika siku
Mtoto wa mtu atanifuta machoziiiiii
Najaribu kukusahau mwendeleee
Hataka umenikosea nikusamehe
Kumbukumbu kichwani ipotee
Labda na nitapendwa one day.
Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapemzi yanauma .
Moyo umeondoka nao hurumuma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wa kwanguuuuuu .
One day yes, one
One day yes. One day yes.
Nitapata wa kwangu.
One day yes. One day yes ,
One day yes.
Na mimi nitapendwa