![Mtamu ft. Bahati](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/08/ff85aa6b75874c61932776e7ab88e0d6_464_464.jpg)
Mtamu ft. Bahati Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mtamu - Rayvanny
...
Smile yako nare (nare)
Urembo wako nare (nare)
Kila kitu nare (nare) nare
Mamacita, sinyorita, margarita
Toto, kwa baridi nipe joto
Nikilala we ndo ndoto, mi wako mtoto
Ah toto toto, kwa baridi nipe joto
Nikilala we ndo ndoto, mi wako mtoto
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu tu
Ah, sikujua
Kupendwa hivi raha
Sikujua, yananoga hivi na
Umechukua, akili yangu dah
Ukiniacha, wallahi mi kichaa
Uuu-menipa nini, mbona umenipendelea mimi
Uuuh ata siamini, mahaba yote haya yangu mimi
Aibu yaoo, (hao)
Walosema tutaachana (haoo)
Ndo kwanza tunapendana (haoo)
Inawauma sana
Aibu yaoo (haoo)
Walisema ntaachika (haoo)
Ona wanadhalilika (haoo)
Raha anazonipa baby wangu mtamu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu
We ndo mtamu mtamu tu (my baby)
We ndo mtamu tu
Nitaleta zawadi mama (I swear)
Nitaleta maua mama
Nitaleta zawadi mama (I swear)
Nitaleta maua mama
Toto, kwa baridi nipe joto
Nikilala we ndo ndoto, mi wako mtoto
Ah toto toto, kwa baridi nipe joto
Nikilala we ndo ndoto, mi wako mtoto
Toto, kwa baridi nipe joto
Nikilala we ndo ndoto, mi wako mtoto
Ah toto toto, kwa baridi nipe joto
Nikilala we ndo ndoto, mi wako mtoto
Smile yako nare
Urembo wako nare
Kila kitu nare, nare