![Nilivyo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/14/96f471f312f0448bbe4c2fb478fe9cdf_464_464.jpg)
Nilivyo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nilivyo - Benachi
...
auna upaguzi Mungu wee we si kama mwanadamu unanipenda nilivyo pendaaa nilivyo unanikubali nilivyo kubaliii jinsi nilivyo *2
nikisema Mimi n wako wanasema n uongo eti sifai mm juu nmewakosea ukiuliza majirani watachoma kidogo watasema mimi mkora kora eeh
umevumbia macho vumbia vumbia madhaifu yangu ukaziba sikio ziba Kwa watezi wangu umevumbia macho vumbia vumbia madhambi zangu ukaziba sikio ziba ziba Kwa watezi wangu
unanipenda nilivyo pendaaa nilivyo unanikubali nilivyo kubaliii jinsi nlivyo*2
kiuliza marafiki wanaweka vitina eti Mimi ni msherati ratii eeeh u still love me na kasoro zangu na weakness zangu ni mara ngapi nmekosea na hauhesabu
umevumbia macho vumbia madhaifu yangu ukaziba sikio ziba Kwa watezi wangu umevumbia macho vumbia madhambi zangu ukaziba sikio ziba Kwa watezi wangu
unanipenda nilivyo pendaaa nilivyo unanikubali nilivyo kubaliii jinsi nlivyo *2
auna upaguzi Mungu wee we si kama mwanadamu*2 u still love na kasoro zangu na weakness zangu n mara ngapi nmekosea na hauhesabu
umevumbia macho vumbia vumbia madhaifu yangu ukaziba sikio ziba Kwa watezi wangu umevumbia macho vumbia madhambi zangu ukaziba sikio ziba Kwa watezi unanipendaaa
uuuhhhh.