![Aje ft. Moji Shortbabaa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M15/95/A0/rBEeNF4myIKABp6RAADuVUap8n4292.jpg)
Aje ft. Moji Shortbabaa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Aje ft. Moji Shortbabaa - Benachi
...
....
Mimi mwanake, amekuwa na
mimi ndio maanake, sifa n kwake,
utanipata wapi ka si kwake,
niwe mtaa ama majuu , ako na
mi karibuu..
so mi naye ka tatoo, mimi
nampenda ananipenda times 2
ameniweka fiti, ameniweka settle
kama kiti na hata times siko fiti
ako na mi ka mjego na simiti
ni nani anaweza bila we
asimame tumwone
ni nani anaweza bila we
asimame tumwone
ni aje, aje bila we nitawezaje
ni aje, aje bila we nitawezaje
wewe ndio kila kitu babaa,
wewe ndio kila kitu babaa,
wewe ndio kila kitu babaa,
babaa..
nyumba bila kiti (ee) , timu bila
mashabiki (ee) , ndege bila tikiti
na nitawezaje bila we rafiki
?? nikajiuliza aa, ukanishika
ni cry, sa mi nawe ata kunyeshe
hata kudry ai
umeniweka fiti, umeniweka
stable kama kiti na hata times
siko fiti, uko nami ka mjengo
na simiti
ni nani anaweza bila we
asimame tumwone
ni nani anaweza bila we
asimame tumwone
ni aje, aje bila we nitawezaje
ni aje, aje bila we nitawezaje
wewe ndio kila kitu babaa,
wewe ndio kila kitu babaa,
wewe ndio kila kitu babaa,
babaa ...
ni alfa omega (alfa omega)
bila nitawezaje , aje
mwanzo na mwisho (mwanzo
na mwisho) bila nitawezaje ,
aje
ni alfa omega (alfa omega)
bila nitawezaje , aje
mwanzo na mwisho (mwanzo
na mwisho) bila nitawezaje ,
aje
ni aje, aje bila we nitawezaje
ni aje, aje bila we nitawezaje
wewe ndio kila kitu babaa,
wewe ndio kila kitu babaa,
wewe ndio kila kitu babaa,
babaa..(ni aje, aje..)
moji short baba....