Kaa Mi Ni Wao Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Fala amefika na hana plan
Anataka kupika na hana njaa
Fala amefika na hana plan
Anataka miujiza na hana cash
Fala amefika na hana plan
Anataka kupika na hana njaa
Fala amefika na hana plan
Anataka miujiza na hana cash
Anasema amekaa sana kwa jam jam
Anasaka mafala wanasaka ham ham
Wansaka news
Few wanareview
Few wanatema mate
Tena wanakufa kiu
Maji kibao ila kwa nuhu
Akili zao ila mabubu
Taji ni zao ila undugu
Ka me ni wao sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Ka ka ka
Ka me ni wao
Sijaruhusu
Mlevi hataki tena busaa
Rahisi apewe sumu silaha
Mcheshi hacheki tena kichaa
Hadithi ya fisi sungura hua
Na kazi kusingizia
Afisa amefika bila silaha
Amevaa mikeka za kishujaa
Halali usiku yeye ni hatari
Hajali ajali maisha kamari
Anafwata upepo yeye ni bendera
Anachana kipara yeye ni fukara
Anafwata upepo yeye ni bendera
Anachana kipara yeye ni fukara
Anafwata upepo yeye ni bendera
Anachana kipara yeye ni fukara
Anafwata upepo yeye ni bendera
Anachana kipara yeye ni
Fala amefika na hana plan
Anataka kupika na hana njaa
Fala amefika na hana plan
Anataka miujiza na hana cash
Fala amefika na hana plan
Anataka kupika na hana njaa
Fala amefika na hana plan
Anataka miujiza na hana cash
Ka me ni wao sijaruhusu