Sielewi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ahahahaa
Oh yeah
Ice-Tonic on this
SnSe unafeel aje
Niko kwa news
News ni mimi news
Bad news
Me nasaka views
Judge you ah
Usiniconfuse
Niko na kiu
Issue ni me nachew
Tough juice
Changing camera views
Tag you
Wengi wanareview
Mengi nasema few
Me nataka views
Niko first in the city
Vile inafaa
Wengi wanapika scandal
Na niko njaa
Mengi kwa teli eti
Gari ni meli eti
Ferry kwa wengi eti
Kesi ni peni kampeni
Kazi ni deni ngeli
Mitaa imejaa wafu
Watu kabla sarafu
Dhahabu masanamu
Ah wali ni mkavu
Babu hamu ya mbavu
Ah lamu nchi kavu
Babu adabu ni chachu
Ah kama ni ukweli
Wengi waliona teli
Ah kama ni upesi
Meli ilienda reli ni
Wengi waliona peni
Kwa kweli na sio tapeli
Wengi wasio wa kweli
Wengi hawajielewi
Sielewi
Sielewi sielewi
Sielewi sielewi
Sielewi sielewi
Sielewi sielewi
Sielewi vile sicheki
Vile sicheki
Me sielewi
Vile siteti
Na vile nadedi
Me sielewi
Vile nableki
Na me ni pedigree
Kisomo si degrees
Joto kimombo
Ah kukosa si defeat
Soko mikopo na
Nani amelala njaa
Na amekosa paa
Ngozi amevaa hana
Pa kuweka noti hana
Wana tamaa na
Wana vifaa bidhaa
Wanajivaa vichaa
Wanajikaa sifa
Picha kadhaa
Riba haswa ni njaa
Home nyumba ni hope
Rome ukuta ni pope
Rogue kufa ni rope
Few na views za
Kusurvive all chances
New na kiu
News ni shoot we
Kabla we loot we
I said shoot we
Kabla we loot we
News ni shoot we
Kabla we loot we
Ehee shoot we
Kabla we loot we
Sielewi
Sielewi
Sielewi vile sicheki
Vile sicheki me
Sielewi
Sielewi vile siteti na
Vile nadedi me sielewi
Sielewi
Sielewi