Halo Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Weelllaaaaa
Nimechora
Sana namfana Gado
Nimechoka
Kama naifanya Bado
Naikata simu
Bado mnasema halo
Halo halo
Star hash
Bado number ni dash
Bas punguza gas
Mask ama ni cash
Bado ganja ni drug
Bado chama ni church
March kama kichaa
Ah
Sawa ukijam
Much power ni gun
Yes pesa ni chai
Yes gari ni bike
Yes maji ni wine
Imetoboka roho
Imebomoka
Imenitoka moyo
Umenichosha mabawa
Mahali imefika
Mahali imefika
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za machuom
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za ma chuom
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za machuom
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za ma chuom
Naifanya ka ka
Kala mashaka
Nairusha ra ra
Rada huchacha
Naifanya ka ka
Kala mashaka
Nainusa ba ba
Bara baraka
Staki uvivu nife na njaa
Staki kukata ka ni haram
Ka ni karam cash na motorcar
Mood na photo man
Views na kamadam
Niko pahali napaa
Niko mahali inafaa
Mbali kufika mahali
Mbali Na hali nlikaa
Mbali na taa na makaa
Mbali na baa na balaa
Mbali na shaka mitaa
Mbali na njaa
Nimechora
Sana namfana Gado
Nimechoka
Kama naifanya bado
Naikata simu
Bado mnasema halo
Halo halo
Pan tambua me niko Home
Ka ni sambusa ni za machuom
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za ma chuom
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za machuom
Pan tambua me niko home
Ka ni sambusa ni za ma
Nimechora
Sana namfana Gado
Nimechoka
Kama naifanya bado
Naikata simu
Bado mnasema halo
Halo halo