Huu Mwaka ft. Mr Nice Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Nyorosha mikono yako miwili juu
Only if you believe in God though
Its your boy jean the hustla
Mr nice
Adui
Toka
Devil
Toka
We tu
Banjuka
To all my washindi in life
Na wale ambao hawakati tamaa
Huu mwaka ni wa mita
Nooks za mia toka kwenda eh
Huu mwaka ni wa clean up
Rafiki fake toka kwenda kwenu
Huu mwaka ni wa clean up
Rafiki fake toka kwenda kwenu
More cash
Low key
Simu yangu mteja
Focused
Milly
Mpaka nibaie mthama keja
More cash
Low key
Simu yangu mteja
Focused
Milly
Mpaka nibaie mthama keja
Part time rapper
Full time hustler
Me I me say
Till I buy my mama a house
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Huu mwaka ni wenu
Banjuka
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka
Baba na mama weh
Mama weh
Mmetoka mbali na maisha yangu woh
Ayayayayah
Baba weh
Mama weh
Mwanao bado nakukumbuka sana weh
Sana weh
Owo oh oh oh oh
Huu mwaka
Baraka zinazidi kuwa nami
Huu mwaka
Mziki nitazidi kuongeza
Huu mwaka
Wazazi mzidi kuniombea
Huu mwaka
Marafiki
Marafiki
ooh wah
Na wale wasio nipenda
Watakufa na kijiba cha roho
Watanitafuta hawanipati
Lakini mimi bado nipo
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka
Huu mwaka mzuri kinyama
Kwa wale wameona huu mwaka
Maisha lazima yasonge
Ni nice na hustla kwa ngoma
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka ni nice na hustla
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka ni nice na hustla
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka ni nice na hustla
Huu mwaka ni wangu ni wako
Huu mwaka ni wetu ni wenu
Huu mwaka ni wetu
Hu mwaka ni wenu
Banjuka ni nice na hustla
Huu mwaka
Ni wetu
Huu mwaka
Mr nice
Hustla