Mistari XVI Lyrics
- Genre:Spoken Word
- Year of Release:2022
Lyrics
Ushaitaka kusema kitu unaona maneno peke yake haiwezi eleza vizuri?
Na je ushaitaka kutenda kitu unajiuliza ka itafurahisha
Wale unapenda ama itawavunja moyo
Na Je unajuwa kesho ni mungu peke
Yake anajua kama utakuwa ama hutakuwepo
Naskiaga watu wengi wasipo fikia ndoto zao wanasingizia wazazi
Funguwa macho maisha ya utoto iliisha fikiriya wale utalisha
Bidii kutia siachi asubuhi mchana usiku silali
Dunia nzima huezi furahisha ndo maana
Kile naenda kutenda wengi itawatingisha
Tunaishi limoja tu
Mambo ya kupoteza wakati mimi staki
Ongea kuhusu noti ata ka ni kuingia kwa bahari tutaruka katikati
Maisha mzuri ndo nahitaji nguvu mwilini amani rohoni
Pesa mfukoni
Familiya
Mkate tumboni
Kazi yangu mzuri
Mashahiri utamu nizidi kuwapatia nyinyi
Najua ukweli inauma na nia yangu si kukuumiza
Sikiiza mawaitha
Ukiulizwa habari zangu sema jeanthehustla ata yeye ujinga hataki
Nakuja mbio na mabaraka
Usishangae ukiona mimi nakupita
Kubonga mob sio kumaliza
Wacha nifunge hii chapta namna hii amina
Mistari XVI
JeanTheHustla
Peace