Bartenda Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2022
Lyrics
Leo ni mtiti mtiti yani
Mdogo mdogo au sio
Kama kawa
Jean the hustla
Papapa
Tatata
Tititi
Mwuh mwuh mwuh
Bang bang bang
Raaa
Check vile si hufanya
Eh bartender baby
Nadai kinywaji
Eh si usmile kiasi
Nitakupa tip baby
Eh bartender baby
Nadai kinywaji
Eh si usmile kiasi
Nitakupa tip baby
Eh tender loving care
Its all i need my dear
Eh did i sound clear
I need myself a beer
Ooh shit
Am sorry clare
Nikilewa kingoso mi huanza kuongea
Damn, phone yangu imepotea
Na sikujua home ndipo tunaelekea
Ooh mrembo nimepepea
Check mfuko yangu ya kulia kuna mamia
Tuchukuwe taxi
Bartender kitu ya kwanza
Tukifika home
Matunda nitayavuna
Eh bartender baby
Nadai kinywaji
Eh si usmile kiasi
Nitakupa tip baby
Eh bartender baby
Nadai kinywaji
Eh si usmile kiasi
Nitakupa tip baby
Eh bartender
Ni usiku ya kwanza na nisha kupenda
Eh bartender
Vile unakula iyo kitu mi napenda
Eh bartender
Aki ya nani sutanifanya mwenda
Eh bartender
Si umebeba hadi za ma neighbour
Nitaitwanga ikika kukauka
Nitailamba
Alafu tena zama
Nitakutingizia
Uskie kukimbia
Shika mzigo anza kuniimbia
Eh bartender baby
Nadai kinywaji
Eh si usmile kiasi
Nitakupa tip baby
Eh bartender baby
Nadai kinywaji
Eh si usmile kiasi
Nitakupa tip baby