Nakukumbuka Mama (Music Version) Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
I wish you were here
Beside me
Haaa haaaa
Haaaaaaaaa
I wish you were here
Beside me
I wish you were still here
With me
Maaamaaa
I still feel your presence
Inside me
Oh I still feel your presence
Beside me
You are always here in my heart
And in my soul
You are always here in my heart
And in my soul
Ooh ooh
Maamaa
Nakukumbuka mama
Kwa yote yalo mema
Mwanao ulonifunza mama
Nakukumbuka mama
Kwa yote yalo mema
Mwanao ulonifunza mama
Mhhhh mhhhhh
Mhhhh Mhhhhh
Kama mapenzi ya mwana
Mama
Yangeokoa Maisha ya mama
Mmmhh mmhhh
Kama mapenzi ya mwana
Mama o Mamaa
Yangeokoa Maisha ya mama
Ooh Ooh
Basi leo ungekuwa nami
Ummy Yaa Ummy
Kiendelea kunifariji
Ummy Yaa Ummy
Kinisikiza zote ghammi
Ghammyyyy
Nakukumbuka mama
Kwa yote yalo mema
Mwanao ulonifunza mama
Nakukumbuka mama
Kwa yote yalo mema
Mwanao ulonifunza mama
Haaaa Haaaa Haaaaa
Haaaaah Haaa Haaaah
Dua zangu kwako Mola
Rabba
Pumzishe wangu Mama
Mhh Mhhh
Dua zangu kwako Mola
Rabba Oo Rabba
Pumzishe wangu Mama
Ooh Oohh
Panulie lake Kaburi
Ameen Ya Rabby
Mininie maji baridi
Ameen Ya Rabby
Muangaze na yako Nuri
Nuriiiii
Na mpe Jannah
Nakukumbuka mama
I miss you Maa
Kwa yote yalo mema
I crave for your touch
Mwanao ulonifunza mama
Mamaaa Maamaa
Nakukumbuka mama
I miss you Maa
Kwa yote yalo mema
And I pray for your soul
Mwanao ulonifunza mama
Mamaa ooh Maamaaa