Nalia Mimi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
Lyrics
Mmmhhhh
Aaahh aaah aah
Naililia Tanzania
Mmmhhh nchi yangu
Naililia Afrika
Oooh bara langu
Naililia Tanzania
Oooh nchi yangu
Naililia Afrika
Oooh bara langu
Ni wapi tunakwenda
Hali macho tumefumbwa
Ni wapi tunakwenda
Hali macho tumefumbwa
Kiza mbele kimejaa
Na nuru imefutika
Kiza mbele kimejaa
Na nuru imeondoka
Tabasamu limenyauka
Bashasha zimefutika
Hofu,huzuni nyoyoni metujaa
Machozi yatiririka
Nalia mimi
Nalia mimi
Nalia mimi
Nalia mimi
Nani? Nani
Atakuwa mkombozi
Nani? Nani
Atakuwa mkombozi
wetuu
Haaa haaaa haaaa haaaahaaaaa
Sijui ntalalaje
Nao sijui walalaje
Vita iso ya haki
Tutaishindaje
Sijui ntalalaje
Nao sijui walalaje
Vita iso ya haki
Tutaishindaje
Twapigana vita tena ya kushindwa
Kubadilisha dunia kwa kuishambulia
Daima dhuluma ndio inayoshinda
Walalaje dunia inaungulia
Oo nani? naniii
Mola gusa machozi yangu
Ya moto shavuni mwangu
Mola gusa machozi yetu
Ya moto shavuni mwetu
Nalia mimi
Nalia mimi
Nalia mimi
Nalia mimi
Nani? nani
Atakuwa mkombozi
Ooh Nani? nani
Atakuwa mkombozi
Nani? nani
Atakuwa mkombozi
Nani? nani
Atakuwa mkombozi
Ooh Nani? nani
Atakuwa mkombozi
Wetuu