
Nyoyo Zimefurahika (Vocals Only) Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Nyoyo zime furahika
Kwa kuzaliwa Nabia
Nyoyo zime furahika
Kwa kuzaliwa Nabia
Ulimwengu unacheka
Kwa Nuru kutuenea
Ulimwengu unacheka
Kwa Nuru kutuenea
Nyoyo zimefurahika
Nyoyo zimefurahika
Kwa kuzaliwa Nabia
Nyoyo zimefurahika
Kwa kuzaliwa Nabia
Ulimwengu unacheka
Kwa Nuru kutuenea
Ulimwengu unacheka
Kwa Nuru kutuenea
Nyoyo zimefurahika
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Swalla llahu alayhi wa sallam
Mhhh Mhhh Mhhh
Mhhh Mhhh Mhhh
Ilizagaa na mianga
Bwana alipodhihiri
Ya Marhaba
Aliondosha ujinga
Elimu kutuhubiri
Ya Marhaba
Ilizagaa na mianga
Bwana alipodhihiri
Ya Marhaba
Aliondosha ujinga
Elimu kutuhubiri
Ya Marhaba
Kasafisha yalopita
Akaleta kulla kheri
Kasafisha yalopita
Akaleta kulla kheri
Nyoyo zimefurahika
Nyoyo zimefurahika
Kwa kuzaliwa Nabia
Nyoyo zimefurahika
Kwa kuzaliwa Nabia
Ulimwengu unacheka
Kwa Nuru kutuenea
Ulimwengu unacheka
Kwa Nuru kutuenea
Nyoyo zimefurahika
Ilizagaa na mianga
Bwana alipodhihiri
Aliondosha ujinga
Elimu kutuhubiri
Kaondosha kulla janga
Akaleta kulla kheri
Aliondosha kulla janga
Akaleta kulla kheri iiii
Ya rasoola llahi
Salaamun alayka
Ya habiiba llahi
Salaamun alayka
Ya rasoola llahi
Salaamun alayka
Ya habiiba llahi
Salaamun alayka
Salaamun
Salaamun
Salaamun
Alayka
Salaamun
Salaamun
Salaamun
Alayka