![Mama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/22/010aa2ab75f84719afa55e184aaf5a19_464_464.jpg)
Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama - Rayvanny
...
uuuuu uuuuuuu
kabla haijanijua dunia, ulinijua mama
kabla sijataja jina lingu nilitajina lako mama,
kwenye maisha magumu
ulionyeshatabasamu laakoo
ulipopitia machungu,ulificha nisione chozi lako,
mzigo wa majukumu bado hukunitupa damu yako,
hata nikupe nini bado stolipa wema wako
uliningojeaa mama kabla sijaanza kunyonya
(uuu)nikatambaa nikatembea
ukabangaiza nikasoma
uuu nakuombea mama ama uniona
dunia nzima inikatae upendo hutokomaa
i love you uuu (mama)
i love you uuu (mama)
i love you uuu (mama)
mamaaa aa mama aa
we mama yangu (mama)
i love you mama (mama)
we mama (mama)
mama yangu mama
aaa eee
awe kilema awekipofu ni mama
awe maskini ungwa wa akili ni mama
hata awe bubu haongei ni mama
awe omba omba barabarani ni mama
kunamwingine amenyanyasikika
kwa ndugu na jamaa
mwisho akafukuzwa nakuranda randa kwenye mitaa
jua lake mvua yake anayeseka na njaa
kichwani mawazoo muda wote ameshika taama anabaki akisema uko wapi mama
rudi nikuone nateseka sana
aaiii yeye uko wapi mama
mwanao nakumiss pumzika salama
aa ee i love uuuuu mama (mama)
i love uuuuu mama (mama)
i love uuuuu mama (mama aa)
i love uuuuu mama aa
mama aa mama aaa
we mama yangu (mama mama)
i love mama (mama aa mama}
we mama {mama mamaa )
mama eeee
@boom_tz
follow kuendelea kuisaport