Mtoto Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mtoto - Rayvanny
...
ooo lololo
yaaaleee
aaayayaaaaa
ah,ua red manukato ya pombee
nitoe baridii,tushushie na monde,
yakhabibi,kweli Mungu hakosei
mtoto gaidi kanilegeza kushinee
aaiii wewe punguza kasi
ukisugua unacheza rafu utangoa nyasi
aiii wewe we punguza kasi
ukipanda juu unavyo rukaruka
kama farasi iii, nimekwama sijiwezi
nimezama kwenye dibwi la mapenzi
nimekwama sijiwezi,
nimezama kwenye dibwi la mapenzi
ameniteaka!!!!!
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi)
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ananichanganya)
wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ayeyeee)
(aah) mtoto wa mama mkwe
aaah, mama kazaa,
ona mtoto kifaa,
akicheka kama anakuita,
ukimwangalia tu unajaa,
aaa anajua kuvaa,akvua unamwaga chapa,
mtoto rangi moja inang'a,usoni hadi chini kwenye paa,
papa nguruuuu, ananuruu
akishika ikulu,natoa ushuru
natokajeee?? hapa natokaje
geuka waonyeshe kwiyoo natokaje??
namwachaje? jamani namwachaje?
ona mtoto alivyochombo namwachaje??
ee nimekwama sijiwezi
nimezama, kwenye dibwi la mapenzi
nimekwama mhh sijiwezi
nimezamaa kwenye dibwi la mapenzi
ameniteka!!!
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (apunguze kasi)
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ananichanganya)
wa mama mkwe
(mhhhh yelelele) mtoto wa mama mkwe
aaaa mtoto wa mama