![Nateswa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/22/010aa2ab75f84719afa55e184aaf5a19_464_464.jpg)
Nateswa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nateswa - Rayvanny
...
.....
hivi nacheza rumba
ama bolingo na ngai
maana nina kiwembe
kwenye vita ya masai
we nitese mchumba
nimependa si shangai
penzi kitovu uzembe
Mimi nalia wewe furahi
ilaa msiende nyumba za wageni
walete nyumbani kwangu
chunga taratibu na chaga
msije vunja kitanda changu
nimekununulia na Gemini
usi-sweat mke wangu
Kama majasho mkimwaga
litumie taulo langu
naaah
baya lako zuri kwangu
yote mimi nakusamehe
kosa la kwako lawama kwangu
acha tu nijitetee
furaha yako furaha yangu
sipendi unyong'onyee
ukimpenda rafiki angu
sema nikutongozee
utamu wa pipi ni mate yangu uh
napika mimi wanakula wenzangu uh
mbona nakosa seat kwenye gari langu uh
kuleni embe acheni koko langu
eee eh
nateswa nateswa
mwezenu nateswa na mapenzi
jamani nateswa nateswa
mwezenu nateswa na mapenzi iih
eeh
eehh
mmmh
mapenzi anapanga maanani
sitaki kurukaruka
sawa nipande kichwani
ukichoka utashuka
niite mfanyakazi wa ndani
huna haja ya kusumbuka
kwani anakuja muda gani
niwatandikie shuka
siogopi ku-share
Ila usisahau kinga
japo kwangu fedheea
kukuacha ndio nashindwa
kweli wanioneeea
nakubali wewe ndo bingwa
nipo radhi kuleea
kama wakikupa mimba
naaaah
baya lako zuri kwangu
yote mi nakusamehe
kosa la kwako lawama kwangu
acha tu nijiteee
furaha yako furaha yangu
sipendi unyong'onyee
ukimpenda rafiki yangu
sema nikutongozee
utamu wa pipi ni mate yangu uh
napika mimi wanakula wezangu uh
ona nakosa seat kwenye gari langu uh
kuleni embe acheni koko langu
eeeh
nateswa nateswa (eeeeh nateswaaa)
mwezenu nateswa na mapenziiih (na mapenzi eeh)
jamani nateswa nateswa (nateswa nateswa)
mwezenu nateswa na mapenzi (jamani mwezenu eeeh)
........
@lyrics by king