![Mafeelings](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/43/2B/rBEeMlmBw8SAAbhqAABscsQKwXg443.jpg)
Mafeelings Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2015
Lyrics
Mafeelings - Dela (KE)
...
(Taurus Music)
Wacha nifungue roho, jina langu ni Dela
nipe glasi nipe maji yeah yeah na chupa ya tequila
siamini macho yangu, rafiki yangu na ex wangu
wanapigana mate yeah yeah nyuma ya mugongo wangu
Na ni kweli umechange, siku hizi uko fishy
unalenga meseji zangu, Simu zangu haushiki
siamini mnadate, mapenzi haya tangu lini?
Kumbe mjinga ni mimi, kumbe mjinga ni mimi
With friends like these, with friends like these,
Who needs a enemy? enemy?
With friends like you, with friends like you,
Who needs a enemy? enemy?
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
siamini macho yangu
nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
Nashangaa sana na wewe bana,
umeshindwa ku upgredi
Mimi Kuku kienyeji, ni tamu kuliko ya gredi
Tena sana nawajaji, Tabia zenu ni ratchet e
Bila mi hakuna nyinyi, hamtawahi ni forget i
With friends like these, with friends, who needs a enemy? enemy?
With friends like you, with friends like you, who needs a enemy?
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
siamini macho yangu
nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
(amazing guitar interludes)
Nimwache nimwache nimwache kasema,
kwani yeye mwongo
Nilidhania wanitakia mema,
kumbe fisi oyo
Nimwache nimwache nimwache kasema,
I guess kapata chongo
nilidhania wanitakia mema,
kumbe fisi oyo
oh uh uh
With friends like these, with friends like these, who needs a enemy? (who needs them?) enemy? (who needs them?)
uh uuh
With friends like you, friends like you, who needs a enemy? enemy?
Nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
(nimecatchi mafeelingsi)
nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
(nimecatchi mafeelingsi)
siamini macho yangu
nimecatchi mafeelings
(siamini Mimi)
nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
(siamini mimi)
nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
(nimecatchi mafeelingsi)
nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
(Nimepata wawili)
siamini macho yangu
nimecatchi mafeelings
nimecatchi mafeelings yoh yoh
nimecatchi mafeelings
yoh yoh eh
Nimecatchi mafeelingsi
Nimecatchi mafeelingsi
Nimecatch nimecatch
nimecatchi mafeelingsi
eh eh
Do me a favour please,
Gerrarahia