![Hello (Cover)](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/43/2A/rBEeMlmBwpmAJz91AAB52r1skpA308.jpg)
Hello (Cover) Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2016
Lyrics
Hello (Cover) - Dela (KE)
...
Hello
ni Mimi,baada ya miaka na mikaka je twaweza kukutana
turejelee, yote
wanasema muda unaponya, mbona bado ninaumwa
Hello
waniskia, Niko pwani nikiota juu ya vile tulikuwa, kama vijana, tulipokuwa huru
nimesahau ilivyohisi kabla dunia iianguke
tofauti, baina yetu, ya maili milioni
Chorus
Hello toka kwa mataaaa
mara elfu nkakupigia
kuomba msamaha kwa niliyotenda
lakini mteja, hapatikani
Hello toka kwa mataaaa
naweza sema nimejaribuuu
mpenzi nisamehe, kwa kuvunja moyo
lakini ni kama, haikujalishi kamwe
Hello, waambaje, nikawaida yangu kujizungumzia oh niwie radhi
natumahi, utaniwia radhi, je uliweza hama toka ule mji uliokuboresha
sio siri,kuwa mi na we, tunapitwa na masaaa
Chorus
Hello toka kwa mataaaa
mara elfu nkakupigia
kuomba msamaha kwa niliyotenda
lakini mteja hapatikani
Hello toka kwa mataaaa
naweza sema nimejaribuuu
mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo,
lakini ni kama , haikujalishi kamweeeee
uuuuuh, kamweeeee, huuuuuu, kamwee huuu, kamweee kamweeeeee
CHORUS again