![Kenyan National Anthem](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/43/2A/rBEeMlmBw3qAbL8xAAC-UhjhoFY138.jpg)
Kenyan National Anthem Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Kenyan National Anthem - Dela (KE)
...
We mungu nguvu yetu,Ilete Baraka kwetu,Haki iwe ngao na mlinzi,Natukae naundugu,amani na uhuru,raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu,tufanye sote bidii,nasi tujitoe kwa nguvu,nchi yetu ya Kenya tunayoipenda,tuwe tayari kuilinda.
Natujenga taifa letu,ii ndio wajibu wetu ,Kenya istahili heshima,tuungane mikono pamoja kazini,kila siku tuwe na shukrani