Watoto ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Watoto ft. Harmonize - Country Boy (TZ)
...
Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah
Its s2kizzy beiby Yao yao Country Wizzy again, ii Na Konde boy
Kama una mtoto wako njoo naye
Usije ukazubaa baadaye
Niko na bunduki mi ni roll naye
Tuna roll up, roll up, roll up, yeah
Naona ashanga waka waka
Na mtoto anavyo kata kata
Itakuwaje akimkamata mata
Nitamchakaza chaka chaka
Nangoja muda ufike twende ndani(ayayayaya)
Kwenye bonge la uwanja kitandani(ayayayaya)
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinanga utani, utani, utani, utani
Kuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh
Nyuma wana makalio Kali oooh, kali ooh, kali ooh(iii)
Temeke na kinondoni(haya)
ilala manzese na mwananyamala mala
Yani viatu vipo mfukoni(haya)
Tunapigaga peku yani bila hata ndala ndala
Nawasikia machizi wanaunda kamati
Wana data na viuno nahilo bad body
Inabidi nijiongeze niwe big daddy
Yes I am a big daddy and am a move daddy Woo..
Mama wewe ni fire yo
Umekusanya kama kwaya yo We ni number 1 desire girl
Kwenye michezo we ni mbaya yo
Nangoja muda ufike twende ndani(ayayayaya)
Kwenye bonge la uwanja kitandani(ayayayaya)
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinanga utani, utani, utani, utani
Ooh baby, Katika piga magoti, piga magoti
Acha wanaopiga majungu
Asa namwaga manoti, namwaga manoti
Maana nisha hongwa na mzungu
Ona kapandisha uchizi hivyo
Kabinuka kama mbuzi kashikwa mapembe
Hasira za mkizi hizo
Furaha kwa mvuvi, kijino pembe
kuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh
Nyuma wana makalio Kali oooh, kali ooh, kali ooh(iii)
Temeke na kinondoni(haya)
ilala manzese na mwana mnyamala mala
yani viatu vipo mfukoni(haya)
Tunapigaga peku yani bila hata tandala ndala
S2kizzy baby Konde boy na Wizzy, ii
eenhe Country Wizzy aah Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah