Leo ft. Marioo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Leo ft. Marioo - Country Boy (TZ)
...
chorus
Leo nakubandika bandua( banduaaa)
Leo nakubandika bandua
Leo nakubandika bandua(nakubandika)
bandika
bandua ushanijaa sana kwenye kichwa kichwa changu umejaa zana ushanipa sana hadi nikitaka kuchiti nasema hapana na vile umeni miss naona aibu kukwambia ufanye taratibu vile unanikiss napata majibu bila kunambia we ndo wangu tabibu napata mizuka nakupa yoteyote chekecha banjuka napita kotekote leo hakuna atakae jua mapenzi kukushinda wewe dunia nzima hakuna ntakae mpa mapenzi kukushinda wewe leo nakubandika{bandikabandua}