- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Natamani - Ambwene Mwasongwe
...
Natamani sana
Niwe kama bwana
mtumwema sana
aliyejikana
niwee mpole
Niache ya kale
Nitazame mbele
Daima milele
Niwemtiifu
Tena mwaminiifu
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Natamani MP3 song. Natamani song from album Misuli Ya Imani is released in 2014. The duration of song is 00:06:36. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Natamani, Natamani song, Natamani MP3 song, Natamani MP3, download Natamani song, Natamani song, Misuli Ya Imani Natamani song, Natamani song by Ambwene Mwasongwe, Natamani song download, download Natamani MP3 song
Comments (27)
Top Comments (1)
Dora Reuben
New Comments(27)
Happy Charlesdhtfh
nikiwa na mawazo napenda kusikiliza hii nyimbo hakika ina nibariki na kunipa nguvu
Mr. Swai CAJ
Nabarikiwa sana na nyimbo zako. Zinanifanya kurudi sawa kila ninapo jikwaa. Barikiwa sana. Hii ni moja wapo. Misuli ya Imani is out of this World. Best Lesson Ever. [0x1f627][0x1f628][0x1f630][0x1f636][0x1f60d][0x1f60e][0x1f617]
Jenifa Dua
old is gold
149445455
mungu akubariki sana nabarikiwa kupitia nyimbo zako
Irene eme69ob
Amen Lord is everything for everyone
Aloyce Khamis
mungu ni mwema siku zote
Micheal garçon
Ubarikiwe sana kwa utunzi mzuri
official kibadenyp
ubarikiwe[0x1f636]
Munyu Son
best one
Asha omarydcxia
Nasikiliza sana nyimbo zako kaka abwene napenda sana namie ningekua na uwezo niimbe ama ukiguswa nifanye mwanafunzi wako
Maiko Justin4y075
nakukubali miaka yote kiufupi unaujua unaupiga mwingi sana barikiwa
fatumadioko
hii nyimbo huwa inanibariki wakati wote
Mungu azidi kukuinua>