![VUMILIA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/08/cfa47180763c4c318fc26f3ed5339a94_464_464.jpg)
VUMILIA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2008
Lyrics
VUMILIA - JSISTERS
...
Mbona wakata tamaa washindwa kuendelea
Mwendo bado ni mrefu umeishia njiani
Tabasamu lapotea machozi tele moyoni
Umevunjika moyo wataka kurudi nyuma
Wale uliowategemea wote wamekukimbia
Yale uliyotegemea yamekua kinyume
Milango imefungwa giza nene mbele yako
Watakapoja hukumu huwezi endeleaa
Vumiliaa utashinda
Yote hayo ni ya muda tu x2
see lyrics >>Similar Songs
More from JSISTERS
Listen to JSISTERS VUMILIA MP3 song. VUMILIA song from album SHUKA BWANA is released in 2008. The duration of song is 00:04:54. The song is sung by JSISTERS.
Related Tags: VUMILIA, VUMILIA song, VUMILIA MP3 song, VUMILIA MP3, download VUMILIA song, VUMILIA song, SHUKA BWANA VUMILIA song, VUMILIA song by JSISTERS, VUMILIA song download, download VUMILIA MP3 song