![VUMILIA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/08/cfa47180763c4c318fc26f3ed5339a94_464_464.jpg)
VUMILIA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2008
Lyrics
VUMILIA - JSISTERS
...
Mbona wakata tamaa washindwa kuendelea
Mwendo bado ni mrefu umeishia njiani
Tabasamu lapotea machozi tele moyoni
Umevunjika moyo wataka kurudi nyuma
Wale uliowategemea wote wamekukimbia
Yale uliyotegemea yamekua kinyume
Milango imefungwa giza nene mbele yako
Watakapoja hukumu huwezi endeleaa
Vumiliaa utashinda
Yote hayo ni ya muda tu x2
Ipo asubuhi moja Bwana atakujibu
Na kufuta machozi yako
Yesu asema njoo mbele zake
Kwa moyo wa unyenyekevu
Omba sana tena tenda mema
Mtumikie Bwana kwa moyo wako wote
Ndipo yeye atainua
Mkono wake wenye nguvu ukuokoe ukuinue
Lakini leo nataka nkueleze
Lipo jina moja nalo ni Yesu
Mweleze shida zako mtwike mizigo yako
Naye baba atakujibu kwa wakati atakujibuu
Vu vumiliaa
Vumilia utashinda
Yote hayo n ya mda tuu x2
Ipo asubuhi moja Bwana atakujibu
Na kufuta machozi yako x2
Omba sana usimwache Yesu
Soma neno kisha shukuru x2
Kuwa na imaniii
……