Narudisha
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Abudiwa Bwana, tukuka Bwana,
Heshimika Bwana, tukuka milele,
Wewe ni Mungu hakuna kama wewe Bwana,
Unayotenda hakuna mwingine awezaye tenda,
Unarudishia watu miaka yao, waliopoteza
Unarudishia watu miaka yao, iliyoliwa na nzige
Ulimrudishia Ayubu miaka yote aliopoteza,
Mali yake watoto wote bwana ulirudisha,
Tena maradufu,
Bwana ulirudisha nami najua nitarudishiwa,
Miaka yangu nitarudishiwa,
Iliyoliwa na nzige nitarudisha,
see lyrics >>Similar Songs
More from Gloria Muliro
Listen to Gloria Muliro Narudisha MP3 song. Narudisha song from album Narudisha is released in 2017. The duration of song is 00:04:31. The song is sung by Gloria Muliro.
Related Tags: Narudisha, Narudisha song, Narudisha MP3 song, Narudisha MP3, download Narudisha song, Narudisha song, Narudisha Narudisha song, Narudisha song by Gloria Muliro, Narudisha song download, download Narudisha MP3 song
Comments (288)
Top Comments (1)
Silas Njoroge
New Comments(288)
183443175
listening from Oman in Wudam estate
Farida Giveannie
restoration
Geofrey Andolik5qx1
Miaka yangu iliyoliwa na nzige narudisha kwa jina la yesu
Mianoz
Nice song ,my favourite
Simon Andrea nyrt2
congratulations my beloved sister
Nicholas Amolo
praise be to God glory be to God.
Phellow
beautiful
Kipkorir13
inspirational
I listen to it again and again. Such a blessing & inspiration tional song my sister. God bless you & your family
Kipkorir13
I listen to it again and again. Such a blessing & inspiration tional song my sister. God bless you & your family
munyao mutungax6gkb
good song
Charlotte Lumala
l love this song
ReaganRegime
selling this beast
this is so sweet thanks glo Godbless you all the time am a singer but dont have couch hope one day you will help me>