- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Amalile - Nay Wa Mitego
...
Kwanza uliniomba nikupende nisiskize ya walimwengu nika heshimu maneno Yako nika Fungua Moyo WANGU ulipo nikosea nili samehee zaidi ya saba mara sabini na nilipo kukosea huku nyamaza waka jua na majerani nika hanza ku sikiaa na bwana kutoka Congo ooh alie kuletea chacha uka ni saliti mmeo hivi nini ulitaka nikupe kulishwa kwenye punda mateke ikisha kusinda usijutee hivi nini ulitaka nikupe kulishwa kwenye punda mateke ikisha kusinda nikumbuke pesa zangu mali zangu nilikupa mpenzi wewe wa malile
pesa zangu mali zangu nilikupa mpenzi wewe wa malile Eeeh …
Wa malile wa malile..eeh Wa malile wa malile eh Wa malile … …. … … ..
Maneno nikisema yata punguza heshima yo naficha kukustiri mwanangu Shida nilizo pata kukuletea Furaha niki ya kumbuka na umia uchungu na kawimbo nika kuimbia you’re the only one na bado uka kimbia Hata ni shetani jua furaha sio pesa japo nili kupa ah kam ukutosheka jibu sio kundoka ume muacha mtoto Kwa mduniko naupigo Kwa jirani ninge ijua iyo ngoma ningeipiga tuicheze umu ndaniii Eeh Kwa Malile wa malile Eeh Ahuna Huruma hata kidogo ooh Kwa Malile mbona katoto bado kadogo Kwa Malile na kila laheri ukouendako Pesa zangu mali zangu nilikupa mpenzi wewe wa malile
pesa zangu mali zangu nilikupa mpenzi wewe wa malile Eeeh …
Pesa Zangu Mali zangu nilikupa mshenzi wewe Kwa Malile Pesa Zangu Mali zangu nilikupa mshenzi wewe Kwa Malile
Take Five now
Similar Songs
More from Nay Wa Mitego
Listen to Nay Wa Mitego Amalile MP3 song. Amalile song from album Raisi Wa Kitaa is released in 2022. The duration of song is 00:03:22. The song is sung by Nay Wa Mitego.
Related Tags: Amalile, Amalile song, Amalile MP3 song, Amalile MP3, download Amalile song, Amalile song, Raisi Wa Kitaa Amalile song, Amalile song by Nay Wa Mitego, Amalile song download, download Amalile MP3 song
Comments (18)
New Comments(18)
Elias charlesss8h1
bahati swaiirn9o
rais unatishaaaa
ngatelemusic
po ghwimbile kikyo leo
immester survival
hii ngma imeniflash back ngoma zile za meanamke hapigwi , ukwel wa moyo nk
immester survival
Ngoma kali sana
krish debaby
yah i like it
Cornel yohana
kalii sanaaaa big up brother
Obby Germany
#RaisWaKitaa hivi blood ni kwann hii album yako round hii umeifanya iwe ya mfumo huu uliwaza nn au kuna kilichokukuta?
Appetizer tz
#RaisWakitaa huu ni mziki wa ainagani
dwin kennedy
wakukajah.........
d_kipingutz
hii fire rais
muh. mk
nice song
good song