![Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/18/1ef6178c7d094d939682d3105cbd7730_464_464.jpeg)
Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz - Tunda Man
...
.....
na tunda *3 man (mchawi ndugu )
matatizo yapo kubwa bro kaza roho,washakusema sana vibaya naumia roho
unachana sana zaidi ya wale mabishoo,bro wewe ngamia haufanani na jogoo
walishasema mengi kwamba ngoma ntatoa boko nlisha fika stendi nkakuta chuma imesha ng'oka bado nakimbiza huku jasho linantoka tunda kaka yako sijachoka
bro matatizo yako chukua kama changamoto,huwezi kukata mkono akiunyea mtoto me na kassim tumevaa sana nguo zako kipindi cha msoto naumia ulio wasaidia wanaongea kama ma choko*
nishapita huku na kule weka stopa tulisha imba bure show nzima tunafoka tunarudi ngaribani ila soksi zimetoboka tunda me kakaako sijachoka
.........
.......
...
see lyrics >>Similar Songs
More from Tunda Man
Listen to Tunda Man Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz MP3 song. Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song from album 2022 is released in 2022. The duration of song is 00:03:29. The song is sung by Tunda Man.
Related Tags: Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz, Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song, Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz MP3 song, Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz MP3, download Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song, Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song, 2022 Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song, Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song by Tunda Man, Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz song download, download Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz MP3 song
Comments (56)
New Comments(56)
Mimah wtlvb
Dullybwoy
Wachawi mandugu wasengene pantambua paka paka chuma tunda mwanzo mwisho mziki wawakubwa ajuae ajua
Athumani Shabaniy24ca
ukweli ndohuo mchawi ndugu
janethafjnf
daaaah
saidh856e
kali ulizingua kuongea
pamoja sana wakali wangu
Saimon Mwamlima
daa chid benz broo hazeek daa kaua sana!!!
Magdalena Enock
ila tunda mchonganishi[0x1f602]
lukangaa
blessed san
Minja Csd
Unyade sana
Sizoni Sobo
unaupiga mwingi
✌️