![Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/30/184029585ba0425da13899ff789bfc10_464_464.jpg)
Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza - Ambwene Mwasongwe
...
Wakaulizana mtu huyu ni nani
Jina lake nani na ametoka wapi
Wakashangaa vile anavyosema
Ni tofauti na viongozi wao
anamamlaka na nguvu ya asili
Je mtu huyu si mwana wa Yusufu
Hawakujua ametoka mbinguni
Huyu ni Mungu pamoja na wanadamu
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza MP3 song. Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song from album Mwana Wa Azali is released in 2022. The duration of song is 00:14:20. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza, Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song, Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza MP3 song, Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza MP3, download Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song, Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song, Mwana Wa Azali Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song, Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song by Ambwene Mwasongwe, Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza song download, download Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
171443487
Adrian Ajuel Mdede
Huwa najivunia sana kwa huduma uliyopewa na MUNGU barikiwa sana kaka angu ili uzidi kutubariki kwa huduma
Nuhu siwakwihlckx
Mungu awabaliki awape mafunuo zaidi
Beatrice Maroypsjw
unakitu cha pekee huduma yako mungu azidikukutumia apendavyo
ERICK SHOO21
be blessed brow
lesaiu33m
Amen[0x1f636][0x1f60e]
Ezekia Timothy0xezm
blessed
neymarqv283
nimebarikiwa baba
Evodiusf53t2
Mr Boas I uwa simuskii kwingine vip
Chrissiej
[0x1f608][0x1f608][0x1f612][0x1f612][0x1f612][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f60e]
Atucappuccino
ujumbee mzr nmebarkiwaa.....God bless all[0x1f608][0x1f603][0x1f613][0x1f612][0x1f60e][0x1f623][0x1f623]
Victor Williamzkaqk
wimbo mzuri sana, nimebarikiwa
aamina barikiwa