![Utaniona](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/29/df54cd0064c649a9be1f9d3e09717279_464_464.jpg)
Utaniona
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Utaniona - Linex
...
The VOA, the bad number
Mimi ni dhaifu Nina mapungufu simkalifu uuuuuh, hitaji langu la moyo ni msamaha wako Yesu, naweza jivika usafi mbele ya uso wa Dunia aaah, nikayaficha maovu yangu Bwana (utaniona)
ila siyo kwako Bwana ahhm utaniona 2×
Hata nijinyenyekeze kwa viongozi wa makanisa kama hauko ndani yangu mimi ni bure kabisa, oooh Yesu nimekuja kwako unipokee eeeh 2×
Nikufananishe na nini Bwana, haufananishwi, nikutolee sadaka gani mimi Bwana, ya kukutosha, sina wema wa kutosha dhambi zangu kuziosha, kutomsahau Mungu katika fanaka tusikusahau Bwana,tukizingatia tutapata kuishi na kuongezeka
naweza jivika usafi mbele ya uso wa dunia aaah nikayaficha maovu yangu Bwana
ila siyo kwako Bwana utaniona 2×
see lyrics >>Similar Songs
More from Linex
Listen to Linex Utaniona MP3 song. Utaniona song from album My Side B is released in 2022. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Linex.
Related Tags: Utaniona, Utaniona song, Utaniona MP3 song, Utaniona MP3, download Utaniona song, Utaniona song, My Side B Utaniona song, Utaniona song by Linex, Utaniona song download, download Utaniona MP3 song
Comments (17)
New Comments(17)
lyziepb2bu
peterkarata
Kaka umefanya uamuzi Mzuri saana ingawa wenzako watakuona kama umechanganyikiwa lakn kwa Mungu ndio sehemu sasa utapitia magumu wakati mwngne lakn nakuhakikishia wewe ndio mshnd na mwenye mafanikio yasyoshuka na ya kudumu. Hakuna aliyemtumikia Mungu akaachwa songa mbele usirudi nyumba
Nyaki 1™
Jeje jeida
innocentswq5n
hongera san kaka hakika now umepatia njia sahihi
Mř Pęțęř Tz
[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f623][0x1f623][0x1f621][0x1f621][0x1f621] nakubalii Asee Umetisha Linex
Jacksonz5326
♂️♂️♀️♂️♀️
CITYLAND COMPANY LIMITED
Safi sana kaka, Mungu akuzidishie zaidi nyimbo zinabariki mno
danielisulgr
kaka unajua Mungu akutie nguvu pia ufanane nanyimbo zako
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/18/dd5ef70e1de64e56b6c461b025a137b0.jpg)
lawalla
kenya
Kevin Megan
inspirational and touching song
Hindu Seleman
Hapo ukilitoa beat kitachosikika ni uozo bruh
Hindu Seleman
Muwe mnasikiliza wenyewe kwanza kabla hamjapost huku!!! That's why viewers kibao ila likes 23
Ni nzuri sana yaan, my side B [0x1f623]