
Tusafishe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Tusafishe - Linex
...
The V. O. A
The bad number
Tunapitia mengi ya kukatisha tama na haya bebeki bila mkono wako Bwana, Malaika wako wakae ndani yangu siku zote, mda wote, maisha yangu yote aaah
Bwana mwaga jeshi lako la Malaika kwenye mitaa watu wako wanateseka wamekata tama na wananung'unika, Bwana mwaga jeshi la watumishi wako wakahubiri neno la uzima na kweli kwenye mitaa, watu wapate kuokoka mtaani kumechafuka
Tukisha kumbwa na hasira yako tutakosa mwelekeo, Yesu we ndo kimbilio la wotee
Yesu we ndo kimbilio la woteee
We ndo kiboko ya madoa, tusafishee 2×
Nchi inapoteza nguvu kazi vijana wanauana kisa mapenzi, tumkumbuke Mungu siku za ujana wetu, bora kumtumainia Bwana kuliko kuwatumainia wakuu, heri kumtumainia Bwana kuliko kuwatumainia waakuuuuu uhh
Bwana mwaga jeshiiii la Malaika wako wa mbinguni kwenye mitaaa watu wako wanateseka wamekata tamaa na wananung'unika, Bwana mwaga jeshi la watumishi wako wakahubiri neno la uzima na kweli kwenye mitaa watu wapate kuokoka mtaani kumechafuka
see lyrics >>Similar Songs
More from Linex
Listen to Linex Tusafishe MP3 song. Tusafishe song from album My Side B is released in 2022. The duration of song is 00:04:42. The song is sung by Linex.
Related Tags: Tusafishe, Tusafishe song, Tusafishe MP3 song, Tusafishe MP3, download Tusafishe song, Tusafishe song, My Side B Tusafishe song, Tusafishe song by Linex, Tusafishe song download, download Tusafishe MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
lyziepb2bu
Gyoung Shibli
nice broo linex goog job be blessd
Nicholaus Ngowo
Nice broo! Kwa ndimi zetu lazima tumsifu yeye aliye mkombozi wa ulimwengu. Kristo ndiye kimbilio la kweli.
Kevin Megan
brother linex,ngoma 4 hizi ni kali.
Victoria Ngowicwjp4
vizuri sana linex kazi nzuri uwendelee kuwakumbusha na wengine kunamaisha baada ya..♥️♥️
Diamond Classic Kingali
❤️❤️❤️
Qwirin shao
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
be blessed......im proud of you my lovely Artist