![Wapi Na Lini?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/15/5e78b4afc7534589a946e304bd7fb82c_464_464.jpg)
Wapi Na Lini?
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitasema ukweli uongo
Kwangu ni mwiko
Huo ndio ukweli na
Sio mtazamo
Usiniwekee maneno
Mdomoni mwangu
Hiki ninachosema
Ndicho nakiamini
Nitaanza vipi kukuzulia maneno
Utamaduni na mila
Zangu haviniruhusu
Hata kama wewe ndiwe Umenikosea
see lyrics >>Similar Songs
More from Jei Ara aka Ahsante
Listen to Jei Ara aka Ahsante Wapi Na Lini? MP3 song. Wapi Na Lini? song from album Tupendane is released in 2022. The duration of song is 00:04:11. The song is sung by Jei Ara aka Ahsante.
Related Tags: Wapi Na Lini?, Wapi Na Lini? song, Wapi Na Lini? MP3 song, Wapi Na Lini? MP3, download Wapi Na Lini? song, Wapi Na Lini? song, Tupendane Wapi Na Lini? song, Wapi Na Lini? song by Jei Ara aka Ahsante, Wapi Na Lini? song download, download Wapi Na Lini? MP3 song