![Maajabu Ya Mapenzi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/15/5e78b4afc7534589a946e304bd7fb82c_464_464.jpg)
Maajabu Ya Mapenzi
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapenzi ni kitu cha ajabu
Nitakuambia kwa nini eeh
Mimi naye tulipendana
Kama pete na kidole sijapata kuona
Siku moja aliniita akasema
Mpenzi eh nimekuwa Simwaminifu
Akaomba msamaha huku
Akilia sana mpenzi nisamehe
Nikamwambia asilie
Kwa vile nami pia mambo ni Hivyo hivyo
Usiangalie nyuma mbona
see lyrics >>Similar Songs
More from Jei Ara aka Ahsante
Listen to Jei Ara aka Ahsante Maajabu Ya Mapenzi MP3 song. Maajabu Ya Mapenzi song from album Tupendane is released in 2022. The duration of song is 00:03:12. The song is sung by Jei Ara aka Ahsante.
Related Tags: Maajabu Ya Mapenzi, Maajabu Ya Mapenzi song, Maajabu Ya Mapenzi MP3 song, Maajabu Ya Mapenzi MP3, download Maajabu Ya Mapenzi song, Maajabu Ya Mapenzi song, Tupendane Maajabu Ya Mapenzi song, Maajabu Ya Mapenzi song by Jei Ara aka Ahsante, Maajabu Ya Mapenzi song download, download Maajabu Ya Mapenzi MP3 song