- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tone - Montana Flavour
...
ooh ooh,iyeehee,mmh hee
(B on the beat)
onana nanana aaah,iyehee
hujachekeshwa unacheka,
vimacho mlegezo unadeka
kumbe tamaa ya pesa
umeiweka mbele ka tai
Bora nikacheze mieleka,mchezo wa mapenzi unanitesa,ya nini kujikondesha,nije kushindwa kunywa hata chai
heee,we si ndo yule ulienisifia nitakuwa wako till i die,nyimbo nzuri ukaniimbia,ukala na viapo vingi hatari
bila kusita moyo nikakuachia mie mgonjwa wa mapenzi,kumbe ndani ya pakacha maji nimetia,yote yamemwagika hakuna hata (tone tone tone tone)
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Montana Flavour Tone MP3 song. Tone song from album Tone is released in 2022. The duration of song is 00:03:05. The song is sung by Montana Flavour.
Related Tags: Tone, Tone song, Tone MP3 song, Tone MP3, download Tone song, Tone song, Tone Tone song, Tone song by Montana Flavour, Tone song download, download Tone MP3 song
Comments (23)
New Comments(23)
Fatuma Hemeddzql8
Fatuma Hemeddzql8
hatariiii mdogo angu mambo ni [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
ninaj cuty
nakubalii
Cekon Boy
unyama ni mwingi
Blood Love tz
unajua
Lydia Mabeti
Montana flavor aiseeeee daaah unajua mpaka unaboaa
martha79wrs
dàw bahati raghupati
another day naskiliza ngoma yangu pendwa
yussuf machela
huyu mtu au jini jamani,aaaaah ngoma kali mnooooo
Boysondntz5
kazi safi
Yukunda Shao
ww mtoto unajua
Fadhili Farijalabumct
safi mdog wangu
official Hatty-Tz Collection
montana me nmei like xnaaa
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]unyama ni wing