Tone Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tone - Montana Flavour
...
ooh ooh,iyeehee,mmh hee
(B on the beat)
onana nanana aaah,iyehee
hujachekeshwa unacheka,
vimacho mlegezo unadeka
kumbe tamaa ya pesa
umeiweka mbele ka tai
Bora nikacheze mieleka,mchezo wa mapenzi unanitesa,ya nini kujikondesha,nije kushindwa kunywa hata chai
heee,we si ndo yule ulienisifia nitakuwa wako till i die,nyimbo nzuri ukaniimbia,ukala na viapo vingi hatari
bila kusita moyo nikakuachia mie mgonjwa wa mapenzi,kumbe ndani ya pakacha maji nimetia,yote yamemwagika hakuna hata (tone tone tone tone)
ohohoho oohoho ohoho aaa aaa
niliyapa kisogo matamanio,imani iloshiba upendo,wakakuteka vigogo ukapanda dau,na leo umelivua pendo
eti mduara baikoko na we upo ndani
unasasambua umuogope nani,eti tena sina hadhi hatufanani,mimi na wewe
popo unakesha klabu hata hulali ndani,tarumbeta kiroboto mambo hadharani,pesa kidogo unatoaga jicho yani(ieee eeeh)
we si ndo yule ulienisifia,nitakuwa wako till i die,nyimbo nzuri ukaniimbia
ukala na viapo vingi hatari,bila kusita moyo nikakuachia,mie mgonjwa wa mapenzi we daktari,kumbe ndani ya pakacha maji nimetia,yote yamemwagika hakuna hata(tone tone tone tone)
(hakuna hata tone la mapenzi yako wewe(tone tone)
bora ungesema,ungesemaa(tone tone)
mmh mmh unanipa taabu,mie unanipa taabuu