![Mfalme Wa Amani](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/7C/4E/rBEeqF2a58WAJhK4AACIVYI5jXI009.jpg)
Mfalme Wa Amani
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mfalme Wa Amani - Solomon Mkubwa
...
Leo nikasema nilikuwa kijana sasa ni Mzee,×2
Sijawai ona mwenye haki ameachwa miee,
Wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani,
Mungu ni mwaminifu Kwa ahadi zake wanadamu,
Mungu ni mwaminifu Kwa ahadi zake si kama wanadamu ooh,
Akiongea Yesu Ameongea aaah
Akikuhaidia kitu Baba ameahidi na utasikiaa,
Atatatenda Kwa wakati wake yoyoyo,
Ninamwita Bwana wa Amani,Ninamwita Mfalme wa Amani Bwanaaa,
Ndio maana Mimi ninaimba Kwa Sababu ya Amani yake,
see lyrics >>Similar Songs
More from Solomon Mkubwa
Listen to Solomon Mkubwa Mfalme Wa Amani MP3 song. Mfalme Wa Amani song from album Solomoni Mkubwa Singles is released in 2017. The duration of song is 00:07:52. The song is sung by Solomon Mkubwa.
Related Tags: Mfalme Wa Amani, Mfalme Wa Amani song, Mfalme Wa Amani MP3 song, Mfalme Wa Amani MP3, download Mfalme Wa Amani song, Mfalme Wa Amani song, Solomoni Mkubwa Singles Mfalme Wa Amani song, Mfalme Wa Amani song by Solomon Mkubwa, Mfalme Wa Amani song download, download Mfalme Wa Amani MP3 song
Comments (14)
New Comments(14)
Dessai_vosty
Erastus Chilumbaq7ets
mfalme wa amani
Angel Omaryyfroe
mungu ni mwema
Weibil Shadrachqdydx
Every blessing sir. blessed by this song
Precious Johnson 3flf5
nabarikiwa na hii nyimbo [0x1f618]
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/02/f308d7362a5848a389cecd14465fe485.jpg)
jimmie otienoiprkx
mfalme wa amani uinuliwe
Bresh 254
When I am down and i feel to give up i usually get myself in peace after listening to this song ,,,ni ukweli Mungu ni mfalme wa amani,,na tutazidi kumuinua na kumtukuza
sarahwmgzv
Amen.....God of mercy and strength
Rushlove Gitau
God of peace
mariaxw8qq
my faithful God
Aubrey Simwanza
Wonderful song reaching to my soul
puritykiplagat
this song is so nice and comforting thanks so much
[0x1f641]tamu