![Nimewasamehe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/09/E6/rBEezlrF-cCAKdQ4AADcDCQ5mDk748.jpg)
Nimewasamehe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Nimewasamehe - Solomon Mkubwa
...
nilipokuwa mtoto, nilizaliwa kama wewe
viungo vyote vya mwili vilikuwa kama wewe,
ghafla ya dunia mamno yakageuka
nikajikuta kiungo kimoja kimeniondokea
mimi nikajua kuwa mwisho wa mambo yote umefika
wala sifai, nikaona dunia imenitupa, nikaona dunia imenidharau nikajidharau mwenyewe
nikajua sasa mimi sifai tena
niliwanung'unikia wote waliohusika
kwa haya mambo roho ya kisasi ikaja juu yangu
nikajua sasa na mimi nitalipa kisasi
see lyrics >>Similar Songs
More from Solomon Mkubwa
Listen to Solomon Mkubwa Nimewasamehe MP3 song. Nimewasamehe song from album Habari Njema is released in 2018. The duration of song is 00:09:21. The song is sung by Solomon Mkubwa.
Related Tags: Nimewasamehe, Nimewasamehe song, Nimewasamehe MP3 song, Nimewasamehe MP3, download Nimewasamehe song, Nimewasamehe song, Habari Njema Nimewasamehe song, Nimewasamehe song by Solomon Mkubwa, Nimewasamehe song download, download Nimewasamehe MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Erick J.
MARTIN WAFULAe7i9x
thanks
Shiru Muriuki
nimewasamehe wote,nisaidie kuyasahao Mungu
Heuse885
wimbo umenibalikii na kufunza mengi
Hustling queen
The songs inspire me alot
Aggy wa eregi
This song has carried alot of blessing when i listen to it,i always feel blessed!!!and forget the bad things i went through from one of my family member!!!the fast time i heard it m,i cried alot and gad to let go of the bad past!!!be blessed man of God!!!!Huu wimbo umebeba ujumbe mzito n wa baraka!!
ahazi mwaigaga
barikiwa sana
incredible of all time song