
Mwaka wangu freestyle
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kila siku nazidi kusonga ata ka life ni gumu inabidi nshukuru
Maana nlipo leo sio jana na nsiposema ntakua ka nakufuru
Rest in peace kwa wale wote yatupasa kutubu kujiweka huru
Huu mziki najua ntatoka na signs naziona wanipa na nuru
Moto mwingi sa uniite tanuru
Navoweza utasema me guru
Nawachapa utafkiri kaburu
Siachi punde sa huwezi futuru
Nishalipa matrack ka mia ya kwako nabeba vijiji ka Zulu
Kama mziki ni somo naweza nsisome na bado lazima nfaulu
Aah trust no one usijeamini unaemtegemea ndie anaekupiga chini
see lyrics >>Similar Songs
More from Trap Kidi
Listen to Trap Kidi Mwaka wangu freestyle MP3 song. Mwaka wangu freestyle song from album Mwaka wangu freestyle is released in 2022. The duration of song is 00:02:26. The song is sung by Trap Kidi.
Related Tags: Mwaka wangu freestyle, Mwaka wangu freestyle song, Mwaka wangu freestyle MP3 song, Mwaka wangu freestyle MP3, download Mwaka wangu freestyle song, Mwaka wangu freestyle song, Mwaka wangu freestyle Mwaka wangu freestyle song, Mwaka wangu freestyle song by Trap Kidi, Mwaka wangu freestyle song download, download Mwaka wangu freestyle MP3 song