- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Kuna level tunataka kuzifkia
Hakuna kitu kisichowezekana Chini ya jua
Hakuna kitu unachoweza Kuniambia kuniambia
Wengine waweze me ndio nishindwe
Sababu nnayo uwezo nnao lazima nitoboe
Kama unachuki we endelea kunibania
Coz me nataka kwenda juu
I'm meditating niwe mbele hatua mbili
Nyumbani wanantegemea I can't afford to loose
Na kuna muda desh hata nlikua sili
see lyrics >>Similar Songs
More from Trap Kidi
Listen to Trap Kidi JUU MP3 song. JUU song from album JUU is released in 2024. The duration of song is 00:04:52. The song is sung by Trap Kidi.
Related Tags: JUU, JUU song, JUU MP3 song, JUU MP3, download JUU song, JUU song, JUU JUU song, JUU song by Trap Kidi, JUU song download, download JUU MP3 song