- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Sema Neno - White Doves Ministry
...
1. (Sema) sema neno bwana sema Leo
jinsi ulivyosema zamani
Bwana tupe roho tupate pona
utuepushe na maovu yote
sisi wanyonge tena wadhaifu hatuwezishindana na ibilisi
neno lako ndilo nguzo kwetu bwana sema Leo *2
refrain
Bwana sema nasi leo mapepo yote yatoroke
vipofu pia waweze ona wafu nao waweze fufuka viwete nao wapate tembea
Kwa neno lako takatifu
see lyrics >>Similar Songs
More from White Doves Ministry
Listen to White Doves Ministry Sema Neno MP3 song. Sema Neno song from album Tambua Uweza is released in 2019. The duration of song is 00:04:51. The song is sung by White Doves Ministry.
Related Tags: Sema Neno, Sema Neno song, Sema Neno MP3 song, Sema Neno MP3, download Sema Neno song, Sema Neno song, Tambua Uweza Sema Neno song, Sema Neno song by White Doves Ministry, Sema Neno song download, download Sema Neno MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Roba_ch
My favourite in the album❤️