
PROMISE ME
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
PROMISE ME - Azayzakah
...
Kama maji mtungini nimetulia mama, japo nakuzimia Sina dhamana mjini nimefulia mama, mfukoni sina hata cent mia Sina nyumba, wala uwezo wa kulipa nilikopanga Maisha yangu yanayumba, nahisi kama naigiza unavozanga Je utavumilia ah, Shida! au utazikimbia Niahidi kama utavumilia ah, ama ukichoka utanikimbia Oooh baby Promise me iiih iiih, If you marry me iiih iiih My baby Promise me iiih iiih, If you marry me iiih iiih Ni mateso kiasi gani, nayopitia niahidi utavumilia Na kama nikikosea nyumbani, nisamehe bure usiwe kirukanjia Kama unaamini nami ipo nitapata, funga na usali baby wangu uniombee Ya majirani eti watajakusakata, usiyajari we ni wangu acha waongee iiyeeh Japo wawazia gari, me mwenzako ata toroli sina Wala nyumba pesa mali, na kimuziki bado nasaka jina Je utavumilia ah, Shida! au utazikimbia Niahidi kama utavumilia ah, ama ukichoka utanikimbia Promise me iiih iiih, If you marry me iiih iiih My baby Promise me iiih iiih, If you marry me iiih Sina biashara wala mtaji - Bado bado bado Sipati mshahara kwenye hiki kipaji - Bado bado bado Uwezo wa kukidhi mahitaji - Bado bado bado Najimwemwenyua ata mfariji - Bado bado bado oiiyeeh Azayzakah Kajoro For Life RYANBOY
Similar Songs
Listen to Azayzakah PROMISE ME MP3 song. PROMISE ME song from album PROMISE ME is released in 2021. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Azayzakah.
Related Tags: PROMISE ME, PROMISE ME song, PROMISE ME MP3 song, PROMISE ME MP3, download PROMISE ME song, PROMISE ME song, PROMISE ME PROMISE ME song, PROMISE ME song by Azayzakah, PROMISE ME song download, download PROMISE ME MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
kid montrize kipaji og
Neema.mwaipo
so good
good song