- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Suzana - Kay Zaddy
...
Yeh yeh ye,
Ooh yo yo, oh yo yo
Yeh yeh ye,
Ooh yo yo, oh yo yo
Ananita pacha wa Fally Fally,
Wala mi simulizi maswali swali (swali)
Wala hana shobo na wenye magari, gari (gari)
Anachotaka yeye ni mapenzi ya kweli kweli (kweli)
Mtima umeuteka, nami, dhima nimeiweka
Moyoni mwanguuu,. akilini mwanguu
see lyrics >>Similar Songs
More from Kay Zaddy
Listen to Kay Zaddy Suzana MP3 song. Suzana song from album Sweet & Sour is released in 2021. The duration of song is 00:02:56. The song is sung by Kay Zaddy.
Related Tags: Suzana, Suzana song, Suzana MP3 song, Suzana MP3, download Suzana song, Suzana song, Sweet & Sour Suzana song, Suzana song by Kay Zaddy, Suzana song download, download Suzana MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Renato Riziki
Yeh yeh ye, Ooh yo yo, oh yo yo Yeh yeh ye, Ooh yo yo, oh yo yo Ananita pacha wa Fally Fally, Wala mi simulizi maswali swali (swali) Wala hana shobo na wenye magari, gari (gari) Anachotaka yeye ni mapenzi ya kweli kweli (kweli) Mtima umeuteka, nami, dhima nimeiweka Moyoni mwanguuu,. akilini mwanguu Kinachokupa maumiivu, ndo furaha yako, Ukipata utuliivu ficha uwe wako ooo Nionee huruma mama, wewe ndo waniliwaza Na usinirudishe nyuma mama, jua utaniumizaaa You're my cute, (eee) My banana (my banana) You're my future (eee), my zusana, (suzana) You're my flute, waniliwaza My bisikuti, tamu Sana (aah) Mtu mzima akilia, jua kaumia, usije niumiza, mama wewe Namoyo ukishantunzia, ukanvumilia, hutojutia, dada wewe We ndo tabibu wa maradhi yangu, I wanna go around the world, with you You're my baby, baby boo Nataka nikupende wawe na wivu You you you, youu Nionee huruma mama, wewe ndo waniliwaza Na usinirudishe nyuma mama, jua utaniumizaaa You're my cute, (eee) my banana (my banana) You're my future (eee), my zusana, (suzana) You're my flute, (ooh) waniliwaza My bisikuti, tamu Sana (aah) You're my cute, My banana (my banana) You're my future, my zusana, (my suzana) You're my flute, waniliwaza My bisikuti, tamu Sana added by Renato 3R

GODFREY MICHAELfgn9z
ok
Djor Garden fe38w
okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay
Anither Komba
nice song
immaz
kali wazeee
Nelson Garigo
nice
got it right??