![Suzana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/07/a8910e3a068a486195fc3fdda7785c56.jpg)
Suzana Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Suzana - Kay Zaddy
...
Yeh yeh ye,
Ooh yo yo, oh yo yo
Yeh yeh ye,
Ooh yo yo, oh yo yo
Ananita pacha wa Fally Fally,
Wala mi simulizi maswali swali (swali)
Wala hana shobo na wenye magari, gari (gari)
Anachotaka yeye ni mapenzi ya kweli kweli (kweli)
Mtima umeuteka, nami, dhima nimeiweka
Moyoni mwanguuu,. akilini mwanguu
Kinachokupa maumiivu, ndo furaha yako,
Ukipata utuliivu ficha uwe wako ooo
Nionee huruma mama, wewe ndo waniliwaza
Na usinirudishe nyuma mama, jua utaniumizaaa
You're my cute, (eee) My banana (my banana)
You're my future (eee), my zusana, (suzana)
You're my flute, waniliwaza
My bisikuti, tamu Sana (aah)
Mtu mzima akilia, jua kaumia, usije niumiza, mama wewe
Namoyo ukishantunzia, ukanvumilia, hutojutia, dada wewe
We ndo tabibu wa maradhi yangu, I wanna go around the world, with you
You're my baby, baby boo
Nataka nikupende wawe na wivu
You you you, youu
Nionee huruma mama, wewe ndo waniliwaza
Na usinirudishe nyuma mama, jua utaniumizaaa
You're my cute, (eee) my banana (my banana)
You're my future (eee), my zusana, (suzana)
You're my flute, (ooh) waniliwaza
My bisikuti, tamu Sana (aah)
You're my cute, My banana (my banana)
You're my future, my zusana, (my suzana)
You're my flute, waniliwaza
My bisikuti, tamu Sana
(O-ostrich music)
added by Renato 3R