![Tunawabuluza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/20/25161b9d6fe241ae9735ca0bedfa45ca.jpg)
Tunawabuluza
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Tunawabuluza - Rayvanny
...
ona walivyo wapole wamebaki kunong'ona Bishop ndo zaidi wenyewe wanaona wanatafuta kasoro Kila mbinu zinakoma Maendeleo wakika namba wanaisoma wapishi upishi wao yani shwari wanafunzi elimu Yao Kali walimu wamejihami Kwa Kila hali kajali maskini , mafisadi Chali mama wapiga madini anapita nao wazee wa Miradi feki anapita nao wakwepa elimu anapita nao wanaopenda rushwa anapita nao si tupo toka zamani anabisha nani hii ndo chuo lao rang ni redi nyeupe Tena ni mashujaa pole wapinzani Bishop kichwa jembe namba one ayoyoyo Tunwabuluza 8 Aya kelele ya kwanza Kwa vidide wake kelele ya pili Kwa mama vidide kelele ya tatu Kwa Simon wake we mikono juu wote shangilia we mikono juu we kama shati navua Baptist mikono juu wote shangilia basi weka juu we kama shati navua peperusha bendera we bendera sijaona bendera Baptist bendera peperusha bendera we bendera kina mama bendera sijaona bendera peeperusha benderaaaa wee! haya Bishop haya we haya we haya we mama vidide haya we haya we haya we Simon haya we haya we haya we chairman haya we haya we haya we na Ayako haya we haya we haya we polepole haya wee haya we haya we Mr Juma haya wee haya we haya we na Matano haya we haya we haya we bado watoto bishop baba lao 2 Baptist moto wao tena kiboko Yao 2 bado watoto bishop baba lao 2 Baptist moto wao tena kiboko Yao 2 haya Waite 3 mikono juu alafu piga makofi weka juu huku na piga makofi mikono juu alafu piga makofi weka juu huku na piga makofi mikono juu alafu piga makofi weka juu huku na piga makofi mikono juu alafu piga makofi weka juu huku piga makofi tunaenda kushoto we kushoto twendeni kushoto watu wote kushoto turudi kulia we kulia tunarudi kulia we kulia twendeni kushoto we kushoto tunaenda kushoto eh kushoto turudi kulia we kulia kina mama kulia we kulia kina mama vigelegele sijasikia vigelegele haya wanangu piga milunzi sijasikia milunzi Baptist e kiboko Yao Baptist e kabali yao Baptist e kiboko Yao Baptist e kabali yao Baptist e kiboko Yao Baptist e kabali yao jembe Bishop kiboko Yao we mama vidide kabali yao Hadi Simon kiboko Yao we Ayako mama kiboko Yao we Matano baba kiboko Yao Hata chairman kabali yao
Similar Songs
More from Rayvanny
Listen to Rayvanny Tunawabuluza MP3 song. Tunawabuluza song from album Tunawabuluza is released in 2020. The duration of song is 00:05:02. The song is sung by Rayvanny.
Related Tags: Tunawabuluza, Tunawabuluza song, Tunawabuluza MP3 song, Tunawabuluza MP3, download Tunawabuluza song, Tunawabuluza song, Tunawabuluza Tunawabuluza song, Tunawabuluza song by Rayvanny, Tunawabuluza song download, download Tunawabuluza MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Richard@frzcf
144421421
good songs
Natashahruz4
love it..
simbaiy8d9
birds of the same feathers,,,
stellah pop
i like it
nise song