- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Yu Hai - Msanii Music Group
...
Yu hai,yu hai bwana .Hayuko kaburini .Yu hai yu hai yesuu ameshinda kifo.Ilikuwa ni siku ya tatu Baada ya kifo chake mwokozi.Alfajiri Ile ya jumapili,bwana Yesu kafufuka.Wakaondoka kina Mariamu wawili,wakibeba mafuta ya manukato. Wakaomba mwili wake Yesu wasijue kafufuka.Wakikaribia kule kaburini,wakiwaza wataliondoaje jiwe.Kwa mshangao walikuta malaika kang a kaburini.Mbona wamtafuta aliyehai kwa wafu hayupo hapa,Mwokozi amefufuka na kaburi liko wazii.
Bwana Yesu yu hai I,hayupo kaburini.Ameshinda kifo oo na mauti.Tusilie kama aa wasio na imani, tumeshinda kifo oo twaenda mbinguni.×2
Huyu Yesu kafufua lazaro,naye Petero kafufua Tabitha naye Paulo kafufua Eutychusi hakika kifo kimeshindwa.Wapo wengi waliofufuliwa nao mitume na manabi wa zamani kudhihirisha kifo hakina nguvu kwa wote walioamini.Tumwamini huyu huyu Yesu maana kifo hakina nguvu tena.Kifo kama kulala usingizi tukingoja parapanda.Tusahihishe sasa matendo yetu na tuilinde sana imani yetu.Tushikilie neno lake Bwana baada ya kifo ni ushindi.Ole kwako usiye na imani maana baada ya kifo ni hukumu. Waliomwamini wataenda mbinguni ,walioasi watachomwa.
Bwana Yesu yu hai.Hayupo kaburini .Ameshinda kifo oo na mauti.Tusilie kama aa wasio na imani.Tumeshinda kifo oo twaenda mbinguni.×5
Similar Songs
More from Msanii Music Group
Listen to Msanii Music Group Yu Hai MP3 song. Yu Hai song from album Bwana Nieleze is released in 2020. The duration of song is 00:05:18. The song is sung by Msanii Music Group.
Related Tags: Yu Hai, Yu Hai song, Yu Hai MP3 song, Yu Hai MP3, download Yu Hai song, Yu Hai song, Bwana Nieleze Yu Hai song, Yu Hai song by Msanii Music Group, Yu Hai song download, download Yu Hai MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
abibi31
Wendy Odondi
this song is just something else❤i love it
wonderful