
Chuki Nichukie
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Chuki Nichukie - Jahazi Modern Taarab
...
……
Chuki sikizingitiii cha kukosa nilichopewa
Kuandikiwa bahati bure wewe kunichukiaa..*2
Mola mgawa wa bahati mafungu katupangiaa
Tena huwa tofauti aliopewa hupokeaa*2
Ndo riziki inavyokuaa
Inavyokuaa*2
Kukosa unapangiwa na kupata majaaliwa*2
Wee mwenzangu nichukie
Ila roho niachiee
see lyrics >>Similar Songs
More from Jahazi Modern Taarab
Listen to Jahazi Modern Taarab Chuki Nichukie MP3 song. Chuki Nichukie song from album Tupendane is released in 2015. The duration of song is 00:13:15. The song is sung by Jahazi Modern Taarab.
Related Tags: Chuki Nichukie, Chuki Nichukie song, Chuki Nichukie MP3 song, Chuki Nichukie MP3, download Chuki Nichukie song, Chuki Nichukie song, Tupendane Chuki Nichukie song, Chuki Nichukie song by Jahazi Modern Taarab, Chuki Nichukie song download, download Chuki Nichukie MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
dennis mdindi
BillyTZ
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f60d]
hapa basi tu,,