- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Watoto - Mr Cross
...
mamangu mzazi, nakuombea Mungu akuzindishie heri, na fanaka katika maisha yako, ka maana ulinizaa na ukanilea vizuri, Mungu akubariki, mimi ninasema, ni heri ubora, kuliko idadi, mama usife moyo, kuzaa mtoto mmoja, unaweza pata wengi, wawe laana kwako, na upate tu mmoja, awe baraka kwako, ni heri ubora, kuliko idadi, baba usife moyo, kupata mtoto mmoja, unaweza pata wengi, wawe laana kwako, na upate tu mmoja, awe baraka kwako, tumewaona wengi, wamezaa watoto, badala washukuru, wanajuta kua nao, sababu penzi Lao, walitaka wavulana, lakini Mungu naye, akawapa wasichana, mtoto ni mtoto, awe ni wa kiume, ama awe wa kike, kupeanwa na Mola, Annah aliomba Mungu, akapewa samueli, kijana tu mmoja, akawa baraka kwake, ni heri ubora, kuliko idadi, mama usife moyo, kuzaa mtoto mmoja, unaweza pata wengi, wawe laana kwako, na upate tu mmoja, awe baraka kwako, ni heri ubora, kuliko idadi, baba usife moyo, kupata mtoto mmoja, unaweza pata wengi, wawe laana kwako, na upate tu mmoja, awe baraka kwako, ukipewa msichana, ama upewe mvulana, shuluru Mungu sana, kwa yule amekupa, uombeee mtoto, umlee vizuri, Mungu ambariki, awe mtu mzuri, tumewaona wengi, wamezaa watoto, kuwalea kwa shida, kuwasomesha kwa shida, wakikua wakubwa, wanakuwa wambaya, wengine wanaua, ata wazazi wao,
Similar Songs
More from Mr Cross
Listen to Mr Cross Watoto MP3 song. Watoto song from album Ndoto Zetu is released in 2021. The duration of song is 00:04:54. The song is sung by Mr Cross.
Related Tags: Watoto, Watoto song, Watoto MP3 song, Watoto MP3, download Watoto song, Watoto song, Ndoto Zetu Watoto song, Watoto song by Mr Cross, Watoto song download, download Watoto MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Kelvin Muindifk8r9
SILVESTER DAVID
Amen
Amen