Matendo Yako
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Matendo Yako - Mr Cross
...
matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe, na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani,pia akitaka kubariki anabariki, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe, na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka, kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabariki, tukumbuke, anania na mkewe safira,walimdhihaki mungu , wote wakaangamia,pia nawe ,ndugu dada, chunga mienendo yako, usimdhihaki mungu, usije angamia, tukumbuke anania, na mkewe safira, walimdhihaki mungu, wote wakaangamia, pia nawe,ndugu dada, chunga mienendo yako, usimdhihaki mungu, usije angamia, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe,na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabariki, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe,na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabariki,sauli naye, alikuwa, akilipinga neno, alipata adhabu kali, sauli akapofuka,pia nawe, ndugu dada ,usilipinge neno,usipate, adhabu kali ,usije kapofuka,sauli naye ,alikuwa akilipinga neno, alipata adhabu kali,sauli akapofuka,pia nawe ndugu dada, usilipinge neno ,usije kapofuka, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe, na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabariki, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe, na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabariki,danieli, alitupwa, kwenye tundu la simba, akamlilia bwana, naye akasikia,ukibaki, kwenye shida, umlilie bwana,yule yule,wa danieli naye atasikia, danieli ,alitupwa kwenye tundu la simba, akamlilia bwana naye akasikia, ukibaki kwenye shida, umlilie bwana, yule yule, wa danieli, naye atasikia, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe, na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabariki, matendo yako yanaweza kufanya ulaaniwe, na ulimi wako unaweza kufanya uangamizwe, yesu akitaka kulaani analaani, pia akitaka kubariki anabarikiii.
Similar Songs
More from Mr Cross
Listen to Mr Cross Matendo Yako MP3 song. Matendo Yako song from album Baraka is released in 2021. The duration of song is 00:04:50. The song is sung by Mr Cross.
Related Tags: Matendo Yako, Matendo Yako song, Matendo Yako MP3 song, Matendo Yako MP3, download Matendo Yako song, Matendo Yako song, Baraka Matendo Yako song, Matendo Yako song by Mr Cross, Matendo Yako song download, download Matendo Yako MP3 song