NIMESAMEHEWA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
NIMESAMEHEWA - Paul Clement
...
ADUI NAYE ANAKAZANA KUNIFANYA NISISOGEE
AUARIBU MOYO WANGU WA IBADA UWE HARUFU MBAYA KWA BWANA
KAJENGA KIBURI NDANI YANGU,
KAJAZA UCHAFU NDANI YANGU KATEGA KABURI MBELE YANGU
ILI NIANGUKE BILA KUONA
KWANZA ALINIKOSESHA,KISHA KAFANYA MASHTAKA NIONAKANE KUWA NA MAKOSA
KUMBE NILISHA SAMEHEWA,KUMBE NILISHA SAMEHEWA
ADUI YANGU NIKWAMBIE MUNGU ANA SAMEHE NA KUSAHAU UNACHO SHTAKI YEYE HAKIJUI ,UNACHO SHTAKI YEYE HAKUMBUKI
NIMESAME-HEEWA NIMELIPIWA DEENI MIMI SI MTUMWA TENA,MIMI SI MTUMWA TENA
see lyrics >>
Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement NIMESAMEHEWA MP3 song. NIMESAMEHEWA song from album NIMESAMEHEWA is released in 2021. The duration of song is 00:05:41. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: NIMESAMEHEWA, NIMESAMEHEWA song, NIMESAMEHEWA MP3 song, NIMESAMEHEWA MP3, download NIMESAMEHEWA song, NIMESAMEHEWA song, NIMESAMEHEWA NIMESAMEHEWA song, NIMESAMEHEWA song by Paul Clement, NIMESAMEHEWA song download, download NIMESAMEHEWA MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Neemaj8yem
Immanuel Mabongolo
nice
Deleted User
[0x1f607][0x1f607][0x1f607]
Sungwana JJ
[0x1f607][0x1f607][0x1f607]
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60d][0x1f60d]