- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Aibu - Bright (TZ)
...
imani yaaangu, nilidhani umekuja na Hof ya tatizo langu, makovu yaaangu yapone kabisaaa ila ndo peke yangu na nipo kwenye kiza sioni kanisa tumaini laaangu umelikatishaaa mi mnyongeee nimeikosa haki nabaki nasononaaa mazongeeee penzi umelidhihaki yarabi anakuonaa amini sku huwaga hazifanani kiza kinene nuru haionekani kufa kupona ataniponya nani siaminiiiiiix2
Aaaaaa aibu yangu nitaificha wapi
eeeeee kasora Bado jibu sipati,
Aaaaaa aibu yangu nitaificha wapi
eeeeee kasoro yanguu Bado jibu sipati
eeeeee ooooo eeeeee
macho yalinidanganya kuona kweli kumbe sioo uongo nao nikubali kuyarubuni masikiooo sura yako ndotoni eee
see lyrics >>Similar Songs
More from Bright (TZ)
Listen to Bright (TZ) Aibu MP3 song. Aibu song from album Aibu is released in 2019. The duration of song is 00:02:55. The song is sung by Bright (TZ).
Related Tags: Aibu, Aibu song, Aibu MP3 song, Aibu MP3, download Aibu song, Aibu song, Aibu Aibu song, Aibu song by Bright (TZ), Aibu song download, download Aibu MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
geofreymathew
good idea
geofreymathew
enyewe
Hope Chan
so amazing song i love it[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Anton Mhali
good idea
lwizo
##shareout 2 u##
Martin Kigavaddge3
[0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604]
John Mll
[0x1f630][0x1f60e]
right