![Umebadilika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/27/a4bc0d4cb7e24382a0d4c6b7cc61368c_464_464.jpg)
Umebadilika
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Umebadilika - Bright (TZ)
...
Bora nilale nje kuliko humu ndani Mimi sitoweza
maelewano hakuna ukinikosea wataka kubembelezwa
hivi humu ndani mume Nani ,ukinikosea huniombi samahani
hivi kwangu wewe n make gani,,KAZI kiburi Tu na kisirani
Kwanza nimechoka Sana na zako kelele na lala bwana
maana unaongea Sana kila siku huishi lawama
ina maana nayo ongea hayana maana,,hayo ndio matatizo yako mama au mwenzangu umeshaapata kabwana uenda lover ndio kanakuchanganya
umebadilika sanaaa,tofauti na nyumaaa ×2
Hivi wewe mwanaume Una nini ,Leo umeamka na nini maneno maneno ya nini au unataka visa na mimi ,,,
na nitaondoka kelele kelele nachoka usinione me lofa nakuangalia tu
see lyrics >>Similar Songs
More from Bright (TZ)
Listen to Bright (TZ) Umebadilika MP3 song. Umebadilika song from album Umebadilika is released in 2017. The duration of song is 00:04:03. The song is sung by Bright (TZ).
Related Tags: Umebadilika, Umebadilika song, Umebadilika MP3 song, Umebadilika MP3, download Umebadilika song, Umebadilika song, Umebadilika Umebadilika song, Umebadilika song by Bright (TZ), Umebadilika song download, download Umebadilika MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
gift james03gjq
Frank paskalicbyhk
unyama
Harmoni Tz
hingoma hai expire naelewa sanah
dah huu wimbo unanikosha sana[0x1f618][0x1f618]